.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, June 8, 2011

Uzinduzi Mpango wa Maendeleo

        Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda Ripoti ya Tume ya Mipango ya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano iliyozinduliwa jana mjini Dodoma.

      
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Hussein Mwinyi akijadiliana jambo na Kamishna wa Tume ya Huduma za Bunge na Mbunge wa Mafia Mhe. Abdulkarim Esmail Hassan  Shah wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo.    Spika Makinda akisalimiana na wadau waliohudhuria uzinduzi huo


Naibu Waziri wa Aridhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. Goodluck Ole Medeye akibadilishana mawazo na mdau wa Mpango wa Maendeleo.Spika Makinda (kushoto) akimsikiliza Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Balozi Tim Clarke (kulia). Katikati na Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Jitu Vrajlal Soni.