1. Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Dodoma leo Balozi wa Zambia nchini Tanzania Mhe. Mavis Lengalenga Kayumba
Balozi Kayumba akisaini kitabu cha wageni
Balozi Kayumba akiwa kwenye mazungumzo ya kikazi yaliyolenga kuimarisha mahusiano ya nchi na mabunge ya nchi mbili hizi na mwnyeji wake
Spika Mkanda akimsikiliza kwa makini mgeni wake
Balozi Mavis Kayumba akiagana na mwenyeji wake
Prosper Minja-Bunge