![]() |
Marehemu Oscar Mtenda |
![]() |
Naibu Spika Dkt Tulia Akson akiwaongoza maelefu ya watu kutia udongo kaburini |
![]() |
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashillilah akiweka shada la maua juu ya kaburi |
![]() |
Mtoto wa marehemu Oscar pamoja na mama yake wakiweka udongo |
![]() |
Naibu Katibu wa Bunge (Bunge) Bwana John Joel akiweka shada la maua |
![]() |
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bunge akiweka shada la maua |
![]() |
Kaimu Mshauri wa Sheria Bunge |
![]() |
Safari ya mwisho ya Oscar Godfrey Mtenda |