.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, November 6, 2015

Hivi ndvyo umma wa watanzania ulivyomuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete na kumkaribisha Rais John Pombe Joseph Magufuli alipoapishwa rasmi kuliongoza taifa la Tanzania kwa miaka mitano ijayao

Kiapo cha Utii na uadilifu kwa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

Rais Uhuru Kenyatta (kushoto) na Mhe. Rail
Kutoka kulia: Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Msumbiji Mhe. Philipe Nyusi,  Rais wa DRC Mhe. Joseph Kabila, Rais wa Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma, Rais Mstaafu wa Tz Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museven, Rais wa Kenya  Mhe. Uhuru Kenyatta, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Ali Mohammed Shein, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, na Makamu wa Rais Mstaafu mhe. Mohamed Ghalib Bilal baada ya shughuli ya kuapishwa kwa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe MagufuliRais Edgar Lungu wa Zambia
Rais Paul Kagame wa RwandaMama Janeth Magufuli (First Lady)

Rais Rober Mugabe wa Zimbabwe