Karibu Ikulu: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akimpongeza Rais Mteule wa JMT Mhe.Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya kutangazwa mshindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva jana |