Viongozi wakimsubiri Rais wa Msumbiji 19 Mei 2015 |
Spika wa Bunge akimpokea mgeni wake, Rais wa Jamhuru ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mjini Dodoma |
Rais Nyus akipokea salamu rasmi |
Rais Nyusi akikagua gwaride |
Rais Nyusi akisaini kitabu cha wageni mashuhuri. Wanaoshudia ni Spika wa Bunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kiwete |
Rais wa Msimbiji akilihutubia Bunge la Jamhuri |
Rais Kiwete akimsalimu na kumpa pole Mhe. Beatrice Shelukindo ambaye anaumwa |
Spika Makinda akishauriana jambo na wakuu wa vyombo vya Dola |
Picha ya pamoja |