Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama wenye majeshi na polisi kwenye opereshini za kulinda amani zilizo chini ya Umoja wa Mataifa wamekutana kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa jijini New York na kufanya mkutano wa kihistoria. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiwasili kuufungua mkutano huo