.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, February 24, 2015

Dar yazidi kuwa tamu: Chuo Kikuu Cha Agha Khan chaja Tanzania



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Mrisho Kikwete (Kulia) akisalimiana na Mkuu wa Madhehebu ya Somaia duniani Prince Agha Khan. Kiongozi huyo alifika nchini Tanzania na kukabidhiwa hati ya Chuo Kikuu na Rais Kikwete. Chuo hicho kitajengwa Dar es Salaam







Monday, February 23, 2015

Dhoruba ya mvua Chalize yaacha kaya 47 bila makazi

Ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kwa masikitiko kaya 47 za Chalinze zilizokumbwa na mafuriko na dhoruba kali kufuati mvua iliyoambatana na upepo mkali hivi karibuni





Kudumisha Mila ile wengine kwishaacha....


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda akiwa na Chifu mpya kijana wa Wahehe, Chifu Adam Mkwawa II aliyesimikwa kushika wadhifa huo kufuatia kifo cha baba yake mzazi mapema mwaka huu.         huu.

Lowassa jimboni





Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa akikagua maendeleo ya shule katika jimbo lake hivi karibuni

Karibu Mama Migiro

Add caption

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Asha-Rose Migiro (kushoto) akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Magereza nchini Tanzania Afande Casmir John Minja mara tu Waziri huyo alipomtembelea ofisini kwake Dar es Salaam hivi karibuni

Wednesday, February 11, 2015

Ni ibada ya Misa Takatifu ya kumsimika Padre Honest Munishi kuwa Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Edward Baltimore katika Jimbo la Baltimore Md Marekani Feb 8, 2015

Padre Honest Munishi kwenye Ibada akiwekwa wakfu na Baba Askofu Dennis Madden


Padre Munishi akiweka saini mbele ya Baba Askofu Dennis Madden wa Jimbo la Baltimore Md


Balozi wa Tanzani nchini Marekani Liberata Mulamula akiwa kwenye ibada ya Misa

Watanzania kwenye ibada



Kikundi maalum kwenye Ibada

Meya wa Baltimore

Padre Munishi akitoa neno la shukrani

Picha ya pamoja
Majira kutoka kenya wakiwa kwenye Ibada

Friday, February 6, 2015

Bungeni tarehe 5/2/2015

1.Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri akijibu maswali ya wabunge bungeni Dodoma.
 

2.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akijibu swali la mbunge Bungeni Dodoma.

3.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleoa ya Makazi Angellah Kairuki, akijibu swali la mbunge Bungeni.

4.Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Capt. Mstaafu John Chiligati akiwasilsha taarifa ya kamati yake.

5. Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Selemani Jafo akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo.

6.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, Luhaga Mpina, akiwasilisha taarifa ya kamati yake.

7.Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia (mstari wa mbele aliyesimama), akiomba mwongozo kwa Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu.

8.Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, akifafanua jambo kuhusu mwongozo wa mbunge Mbatia.

9.Baadhi ya wageni wa Spika waliohudhuria Bunge, wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu(wa kwanza mstari wa chini).Kulia kwake ni Kamishna wa Jeshi la Magereza (CGP) John Casmir Minja.

10.Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Capt. Mstaafu John Chiligati (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe huku mbunge wa Bariad Magharibi Andrew Chenge akitabasamu nje ya ukumbi wa Bunge.

11.Waziri wa Fedha Saada Mkuya, akibadilshana mawazo na Naibu Waziri wake Adam Malima nje ya ukiumbi wa Bunge mjini Dodoma.Pembeni yao ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janeth Mbene.

12.Kamishna wa Jeshi la Magereza (CGP) John Casmir Minja, akisalimiana na Mbunge wa Tabora Mjini Ismail Aden Rage baada ya Bunge kuahirishwa majira ya asubuhi. Kulia ni Mbunge wa Babati Vijijini Jitu Soni.

13. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (kulia) Mathias Chikawe akiwaongoza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest  Mangu na Mkuu wa Jeshi la Magereza (CGP) John Casmir Minja kushuka ngazi za Bunge.

 14. Naibu Waziri wake Adam Malima.

15. Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Juma Nkamia, akijibu maswali Bungeni.

16. Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mwidau.

17. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akijibu swali la Mbunge la Mbunge wa Rombo Joseph Selasini.



19. Mbunge la Mbunge wa Rombo Joseph Selasini, akiuliza swali.

20. Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri Lediana Mng’ong’o akiongoza Bunge.

21. Mwenyekiti Mpya wa Bunge la Jamhuri Kidawa Hamidi Saleh.