Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Mrisho Kikwete
(Kulia) akisalimiana na Mkuu wa Madhehebu ya Somaia duniani Prince Agha
Khan. Kiongozi huyo alifika nchini Tanzania na kukabidhiwa hati ya Chuo
Kikuu na Rais Kikwete. Chuo hicho kitajengwa Dar es Salaam
|