.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, December 22, 2014

Political atmosphere in Tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyaye Lowassa wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wa JWTZ huko Monduli mwezi huu.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Mamunyanye akimkaribisha Mbunge wa Monduli Mhe Edward Lowassa kwenye sherehe za kutununuku Kamisheni
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mkstaafu Mhe. Edward Lowassa akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa JWTZ