.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, November 10, 2014

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda aongoza Bunge la SADC kushiriki mazishi ya Rais Sata

Akiwasili kwenye viwanja vya Bunge la Zambia

Akisalimiana na rais Mstaafu wa Zambia Rupia BundaRais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe Anne Makinda kwa unyenyekevu mkubwa akisalimiama na Rais mstaafu wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda wakati wa Ibada ya Misa takatifu ya wafu kwa ajili ya marehemu Michael Sata katika Viwanja vya Bunge la Zambia

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia) ni miongoni mwa viongozi mashuhuri waliohudhuria Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Zambia hayati Michael Sata aliyafariki dunia tarehe 29 Oktoba 2014 nchini Uingereza. Ibada hiyo imefanyika katika viwanja vya Bunge la Zambia jijini Lusaka tarehe 10/11/2014
Msafara uliosindikiza mwili wa hayati Michael Sata katka viwanja vya Bunge la Zambia tayari kwa Ibada Misa Takatifu ya mazishi.