.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, November 14, 2014

Kamati ya uongozi 13/11/2014


Mweneykiti wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) akiendesha kikao cha Kamati ya Uongozi mara baada kuahirisha kikao cha Bunge. Hapa anatoa ufafanuzi kwa baadhi mambo yalijitokeza ambapo pamoja na mambo mengine amesema taarifa ya IPTL itakabidhiwa kwa  Waziri Mkuu naye ataikabidhi kwa Spika wa Bunge.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi (Mb) (kulia) akifafanua hoja kwa niaba ya Serikali kwenye kikao hicho kilichofanyikaa katika Ukumbi wa Spika wa Bunge.

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (mbali-kulia) akitoa ushari wa kitaalam kuhusu mafanikio ya mkutano wa 16 na 17 unaoendelea Dodoma wakati wa kikao cha Kamati ya UongoziWajumbe wa Kamati ya Uongozi wakimsikiliza Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilila alipokuwa akitoa ushari wa kitaalam kuhusu uendeshaji wa shughuli za Bunge.

Mjumbe wa Kamati ya Uongozi na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa akifafanua jambo wakati wa kikao ambapo alilitaka Bunge liendelee kufanya kazi zake za kuishauri serikali  kwa umaahisri kama inavyostahiki.


Wajumbe wa kamati ya Uongozi wakimsiliza Mhe. Lowassa.