.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, August 25, 2014

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein amewaapisha wafuatao kushika nyadhifa mbalimbali

Dkt. Sira Ubwa Mamboya - Waziri wa Kilimo na Maliasili

Bwana Juma Duni Haji - Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano

Bwana Rashid Seif Suleiman - Waziri wa Afya

Bwana Mahmoud Thabit Kombo - Naibu waziri wa Afya

Meja (Mstaafu) Juma Kassim Tindwa - Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja

Bwana Omar Khamis Othman - Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba

Bi. Mwanajuma Majid Abdallah - Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba

Bwana Ayoub Mohamed Mahmoud - Mkuu wa Wilaya ya Magharibi

Bibi Hanuna Masoud Ibrahim  - Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba