TANZIA
Mheshimiwa MARTHA MOSES MLATA , Mbunge
wa Viti Maalum CCM anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake Mzazi, Marehemu
Mzee MOSES MLATA kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 31. 5.2014 katika
Hospitali ya Rufaa ya KCMC Moshi. Mazishi yatafanyika mkoani Singida tarehe
3/6/2014 baada ya ibada itakayofanyika nyumbani kwake NKUNGI tarafa ya NDUKUTI,
Wilaya ya MZALAMA mkoani Singida.
Raha
ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani.
Amina