.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, June 6, 2014

Hivi ndivyo Tanzania na Watanzania walivyomuaga gwiji na mwalimu wa tasnia ya filamu nchini Marehemu George Otieno Okomu a.k.a Tyson. Tyson alifariki dunia kwa ajali ya gari akitokea Doddoma kwenda dar es Salaam tarehe 31.5.2014. Atakumbukwa daima....Kwa Monalisa alikuwa Baba mtoto, Kwa Sonia alikuwa ni Baba, Kwa tasnia ya filamu alikuwa mwalimu!