Hivi ndivyo Jumuiya ya Mtakatifu Thomas More (Bunge) ilivyomuga Mhashamu Baba Askofu Gervas Nyaisonga. Katika tukio hilo Baba Askofu aliizindua rasmi Jumuiya hiyo na kuwaapisha Viongozi wa Jumuiya. Aidha Baba Askofu alitoa zawadi ya vyombo vya altareni kwa ajili ya Jumuiya hiyo.