Friday, May 30, 2014
Corazon Kwamboka ni Mkenya, Mwanasheria na mwanamitindo ambaye kwa hakika ni mrembo! wanaume wengi wanampenda na wanawake wengi wanamchukia. Wananchukia kwa sababu wanaamini akipita karibu na "mtu" wao basi penzi li shakani. Hivi karibuni amemzimikia Bwana Hermy B ambaye ni producer wa B'Hits. Je, Hermy atalienzi penzi? Fuatilia.....
Tuesday, May 27, 2014
Monday, May 26, 2014
Thursday, May 22, 2014
Elimu kuhusu Bunge ni kwa wote....
Friday, May 16, 2014
Thursday, May 1, 2014
Mwelekeo wa Bajeti ya 2014/15 Tanzania. Trilioni 19.5/- kutumika
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais - Uhusiano Mhe. Steven Wazira akiwasilisha mwelekeo wa hali ya uchumi
kwa mwaka 2014/2015 kwa waheshimiwa wabunge
|
Waziri wa Fedha Mhe.
Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa Mapato na Matumizi ya
serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 kwa Waheshimiwa Wabunge.
|
Waheshimiwa Wabunge
wakifuatilia hotuba.
|
Wabunge wakifuatilia
hotuba kwa makini
|
Watendaji wa Wizara ya
Fedha wakimsikiliza Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum
|
Subscribe to:
Posts (Atom)