Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais - Uhusiano Mhe. Steven Wazira akiwasilisha mwelekeo wa hali ya uchumi
kwa mwaka 2014/2015 kwa waheshimiwa wabunge
|
Waziri wa Fedha Mhe.
Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa Mapato na Matumizi ya
serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 kwa Waheshimiwa Wabunge.
|
Waheshimiwa Wabunge
wakifuatilia hotuba.
|
Wabunge wakifuatilia
hotuba kwa makini
|
Watendaji wa Wizara ya
Fedha wakimsikiliza Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum
|