Viongozi mbalimbali wakiwasili jijini Kigali, Rwanda |
Katibu Mkuu wa Chama cha RPF Bwana Francois Ngarambe akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Bwana Abdulrahman Kinana alipowasili Kigali kuiwakilisha Tanzania |
Kutoka kushoto ni Bwana Kinana, Bwana Ngarambe na Mjumbe wa NEC Balozi Ali Karume |
Katibu Mkuu Kinana akitoa neno la shukrani |
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Bwana William Hague akibadilisha mawazo na Katibu Mkuu Kinana |
Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Bwana. Thabo Mbeki akisalimiana na Bwana Kinana |
Kutoka kushoto ni Rais Mstaafu wa Botswana Bwana Ketumile Masire, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Bwana Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa na Katibu Mkuu wa CCM Bwana A. Kinana |
Rais wa Kenya Bwana Uhuru Kenyatta na Katibu Mkuu wa CCM Bwana Kinana |
Kutoka kushoto ni Mstaafu wa Burundi Bwana Pierre Buyoya, Mama Buyoya na Bwana Kinana |