|
Spika wa Bunge lamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Anne S. Makinda (Mb) akiwafunda wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la
Katiba kuhusu jinsi ya kufanya kazi zao
wawapo nje na ndani ya Ukumbi wa Bunge Maalum Dodoma.
|
|
Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba wakimsikiliza kwa Makini Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
|
|
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake wa Tanzania Mhe. Anna Abdallah (Mb) akimkaribisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda (Mb) azungumze na Wajumbe Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kwenye semina ya siku moja iliyoandaliwa na umoja huo mjini Dodoma.
|
|
|
Baadhi ya wajumbe katika semina hiyo
|
|
Semina hiyo ilitanguliwa na maombi maalum
|
|
Baadhi ya viongozi wa Umoja wa Wanawake Wabunge wa Tanzania
|
|
Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba wakifurahia jambo wakati wa semina hiyo.
|
Spika Makinda akishauriana jambo na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wabunge Mhe. Susan Lyimo (kulia)