.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, February 20, 2014

Bunge Maalum la Katiba laanza

Mwenyekiti wa Muda wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Pandu Ameir Kificho akiwashukuru wajumbe wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa.
Muonekano wa Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba wakati wajumbe wakisubiri kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa muda  Mchakato wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba2.     


Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akifafanua jambo mara kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mchungaji Christopher Mtikila akitoa maoni yake baada ya uchagizi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.
 Kamati ndogo ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba chini ya uongozi wa Mhe. Pandu Ameir Kificho (kushoto). Kamati hii itakayoongozwa na Mhe. Costa Mahalu na Mhe. Magdalema Rwebangula itafanya kazi ya kuichambua rasimu ya Kanuni zitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba.
Katibu wa Bunge la Muungano Dk Thomas Kashilillah (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa Muda Mhe. Pandu Kifico wakati Kamati maalum ya Kanuni ilipokutana. Kamati hiyo inaundwa na wajumbe ishirini.