.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, September 6, 2013

Inapendeza kumaliza tofauti kidiplomasia...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame (kushoto) wakipena mikono kuashiria amani ya Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort nchini Uganda jana.

Mazungumzo

Kutoka kushoto Marais Paul Kagame wa Rwanda, Salva Kir wa Sudan Kusini, Yoweri Museven wa Uganda na Jakaya Kikwete wa Tanzania 

Picha ya Pamoja ya Viongozi wa Afrika Mashariki pamoja na mwana mama Zuma, Katibu Mtendaji wa Umoja wa Afrika.