Afisa Dawati wa CPA Ndugu Saidi Yakubu akiwapitisha wajumbe kwenye dondoo za taarifa ya kikao kilichopita
|
Mwenyekiti wa CPA Tawi la Tanzania Mhe. Mussa Aaazn Zungu akiendesha kikao cha Kamati Tendaji
|
Mhe. John Shibuda (kulia), Mjumbe, akichangia kwenye kikao hicho ambacho kinafanya maandalizi ya kumchagua Mwenyekiti wa CPA tawi la Afrika.
|
Makamu Mwenyekiti CPA Tawi la Tanzania Mhe. Beatrice Shelukindo akifafanua jambo la kimkakati.
|
Mjumbe wa Kamati Mhe. Zainab Vulu akielezea uzoefu wake ndani ya CPA
|
Wajumbe wa kikao hicho wakisililiza maelekezo ya Mwenyekiti wa CPA Tawi la Tanzania.
|