Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu za pongezi kwa Tasnia ya Habari katika siku ya kuadhimisha siku ya habari duniani |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagasca Mhe. Andry Raejolina katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana