.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, March 29, 2013

KIKWANGUA ANGA CHA GHOROFA 16 CHAPOROMOKA DAR. CHAUA, CHAJERUHI, CHAHARIBU

Rais Jakaya Kikwete pamoja na Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Goodluck Ole Madeye wakiwasili katika eneo la tukio jijini Dra ambako jengo la ghorofa 16 lililokuwa likiendelea kujengwa limeporomoka na kuua watu, kujeruhi na kuharibu mali.

Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi Mhe. James Mbatia ambaye ni mtaalam wa mambo ya majanga kama haya kwenye eneo la tukioRais akipokea maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam. Rais ameagiza wahusika wawajibishwe


Mtaalam wa Majanga Mhe. James Mbatia akielekeza cha kufanya


Baadhi ya mali zilizoharibika


Jengo lililoko pembeni mwa lililoporomoka ambalo linaendelea kujengwa kama inavyoonekana na inasemekana mkandarasi wake ni mmoja na aliyejenga jengo lililoporomoka