Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashillilah (kulia)
akiwakaribisha na kuwafunda waajiriwa wapya 19 walioajiriwa hivi karibuni
katika ofisi ya Bunge.
|
Mhe. Azzan Zungu (kushoto), Mbunge wa Ilala na
Mwenyekiti wa Bunge akitoa ufafanuzi wa yaliyotokea siku alipotuhumiwa kutoa
rushwa mjini Dodoma. Ameuhakikishia umma kwamba hilo si kweli.
|
Wajumbe wa Jukwaa la Katiba wakiwa na wanahabari
mjini Dodoma wakati wa hafla ya kukabidhi jezi za michezo kwa timu ya Bunge
chini ya nahodha wake Mhe. Idd Azzan, Mbunge wa Kinondoni.
|