Wastaafu wakisimama kwa heshima kubwa kumpokea Mhe. Spika
|
Spika Makinda akimkabidhi mstaafu Makame cheti maalumu cha
kutambua utumishi wake.
|
Katibu wa Bunge
Dkt Thomas Kashililah akiwapongeza wastaafu hao. Kushoto kwa Katibu wa Bunge ni
Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma Bw. John Mchenya.
|
Uongozi wa Bunge ukiwa na wastaafu hao.
|
Wakati wa kulisakata rhumba!
|