.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, November 7, 2012

Ofisi ya Bunge yatunukiwa cheti cha ulipaji kodi uliotukuka

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda akifungu mkutano wa kujadili kaununi za Kudumu za Bunge mjini Dodoma leo. Kulia kwake ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.


Sehemu ya Wabunge katika mkutano huo.


Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Bunge Ndugu George Seni kwa niaba ya Katibu wa Bunge akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi cheti cha ushindi wa kuwa mlipa kodi makini leo katika sherehe za kilele cha mlipa kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Cheti cha ulipaji kodi uliotukukka
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wabunge Bi Neema Kusiga na Mhasibu Mkuu Bw. George Seni
Baadhi ya wawakishi wa taasisi zilizotunukiwa vyeti vya ulipaji kodi uliotukuka: Kutoka kushoto ni Padre Seneda (CPPS) kutoka St. Gaspar Hotel and Conference Centre, Padre Nchimbi (CPPS) kutoka Radio Mwangaza, Bw. George Seni kutoka Ofisi ya Bunge na Bi. Neema Kusiga kutoka Ofisi ya Bunge
Picha ya pamoja ya walipa kodi katika viwanja vya Nyerere Square Dodoma.