.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, November 20, 2012

Kikwete aongoza maelfu kumuaga Makweta

 Kitabu cha maombolezo

 Spika Makinda akitoa heshima za mwisho
 Katibu Mkuu wa CCM - Kinana
 Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe










 Paul Kimiti
 Hongera ndugu yangu kwa wadhifa mpya

















Pole sana mama... Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Makweta

Wednesday, November 14, 2012

Nambari Wani

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Makamu Wenyeviti Wawili kutoka Bara na Visiwani, Mhe. Anne Semamba Makinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, akimpongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, baada ya kumtangaza kushinda nafasi hiyo ya Uenyekiti, katika uchaguzi uliofanyika jana katika ukumbi wa Kizota, Dodoma, ikiwa ni kuhitimisha shughuli za Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM. Kulia ni Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali Mohamed Shein na mwingine ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal





Nambari wani!



Democracy in Progress

Tuesday, November 13, 2012

Pigo TOT, Wizi Uchumi

Bi Mariam Khamisi, mwanataarab wa TOT is no more! She passed away while in labour room giving birth!
Ni pigo kwa TOT na kwa taifa. The kid survived!


Huyu mrembo kutokana na ugumu wa maisha aliamua kujitwalia baadhi ya mavituz pale
Uchumi supermarket lakini "wanoko" wakampiga chabo

Saturday, November 10, 2012

Wastaafu Bunge wapongezwa kwa utumishi uliotukuka

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akizungumza na wafanyakazi paomja na wastaafu wakati wa kuwaaga wastaafu hao katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge jana. Jumla ya wastaafu 12 waliagwa baada ya kulitumikia Bunge kwa muda mrefu.


Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akizungumza na wafanyakazi paomja na wastaafu wakati wa kuwaaga wastaafu hao katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge jana. Jumla ya wastaafu 12 waliagwa baada ya kulitumikia Bunge kwa muda mrefu.


Wastaafu wakisimama kwa heshima kubwa kumpokea Mhe. Spika


Spika Makinda akimkabidhi mstaafu Makame cheti maalumu cha kutambua utumishi wake.


Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akiwapongeza wastaafu hao. Kushoto kwa Katibu wa Bunge ni Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma Bw. John Mchenya.



Uongozi wa Bunge ukiwa na wastaafu hao.


Inapendeza uongozi wa juu mahali pa kazi unapokwa wa maelewano mazuri kwani hata watumishi wa chini hujifunza mengi: Spika Mkinda (kushoto) akifurahia jambo na Katibu wa Bunge Dkt Kashilillah (kulia) na Ag DAP Mama Kitolina Kippa (katikati


Wakati wa kulisakata rhumba!