Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Makamu
Wenyeviti Wawili kutoka Bara na Visiwani, Mhe. Anne Semamba Makinda, Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, akimpongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais
Jakaya Kikwete, baada ya kumtangaza kushinda nafasi hiyo ya Uenyekiti, katika
uchaguzi uliofanyika jana katika ukumbi wa Kizota, Dodoma, ikiwa ni kuhitimisha
shughuli za Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM. Kulia ni Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM
(Zanzibar) Dk. Ali Mohamed Shein na mwingine ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed
Gharib Bilal
Nambari wani! |
Democracy in Progress |