Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mkoani Kilimanjaro kwa ziara ya siku nne. |
Mbunge wa Vunjo Mhe. Augustine Mrema akimpokea Rais Kikwete alipowasili Jimboni kwake jana |
Mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania Mama Tunu Pinda akisubiri kutunukiwa shahada ya Biashara katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tarehe 27/10/2012 |
Mama Pinda na wahitimu wenzake |
Mhe. Mizengo Pinda akimpongeza mai waifu wake |
Mtangazaji nguli wa Clouds FM, Anold Kayanda, akimlisha kike mai waifu wake baada ya kuuaga ukapera tarehe 27/10/2012 |
"Kamata kitu mai hasbandi wangu" |