Dkt. Ayub Ryoba akihutubia mara baada ya kutunukiwa shahada
ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Tampere,
Finland
Dkt. Ayub Ryoba (University of Dar es Salaam, Tanzania), Prof
Kaarle Nordenstreng (University of Tampere, Finland) na Prof.Audrey Gadzekpo
(Univeristy of Ghana), wakati Dkt Ryoba akitetea utafiti wake wa “Media
Accountability in Tanzania’s Multiparty Democracy: Does Self Regulation Work?”