Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mjini Mascut na kupokelewa na mwenyeji wake, Sultan wa Oman Qaboos bin Said Al Said jana |
Rais Kikwete akipokelewa na maua na watoto wa Tanzania wanaoishi Oman |
Viongozi hao wakipokea heshima ya juu ya nchi hiyo |