Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hammad Mussa akisalimiana na rafiki yake, Mhe. James Mbatia walipokutana mjini Dodoma hivi karibuni. Mhe Muss aliongoza ujumbe wa watu watano kuhudhuria mkutano wa chama cha mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola Tawi la Tanzania kilichofanyika mjini Dodoma
Wajumbe wakisaliana na mwenyekiti huyo.
Maafisa wa Bunge (Prosper Minja-kulia na Nuru Venance - kati) wakimsikiliza mmoja wa wawakilishi kutoka Zanzibar (kushoto)