.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, July 4, 2012

Bunge laendelea kutoa elimu kwa umma


Jiji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akiwasili katika Banda la Bunge kwenye viwanja vya Saba Saba leo


Jaji Mkuu akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge


Jaji Mkuu akikagua picha za Maspika waliowahi kuliongoza Bunge


Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania Mhe. Pius Msekwa  (wa pili kutoka kulia) akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge


Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara ikipata maelezo kuhusu ushiriki wa Bunge katika Maonesho ya 36 ya Saba Saba


Kamati ya Bunge ya viwanda na Biashara ikijadili jambo katika Banda la Bunge


Baadhi ya wananchi wenye shahuku ya kulijua Bunge wakiuliza maswali na kupewa majibu


Washiriki wa maonesho ya Saba saba wakitembelea banda laBunge