Mhe. Kamata akisalimiana
na watu wenye ulemavu mkoani Geita, Bukoli
Baadhi ya baiskeli za
walemavu ambazo ni msaada uliotolewa na Victoria Foundation inayaomilikiwa na
Mhe. Vicky Kamata
Watu wenye ulemavu wakifurahia baiskeli baada ya kupewa masaada huo mkubwa na Mhe. Vick Kamata
Picha na Yona Kirumbi - Bunge
|