Viongozi wa nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi) wakiongozwa na Rais wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika kusaini makubaliano ya ushirikiano wa mambo ya Ulinzi tarehe 28. April 2012 mjini Arusha.
Kilio cha furaha: Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lisu akilia kwa furaha baada ya kushinda kesi ya uchaguzi |
Mh. Tundu Lisu akitulizwa na mkewe |
Semina maalum kwa Makatibu Muhtasi jijini Mwanza |
Rose Mhando alivyoteka nyoyo za watu siku ya Pasaka tarehe 8.4.2012 katka Uwanja wa Taifa |