Spika wa Bunge Mhe. Anne Semamba Mamkinda (Mb), (kushoto) akiwa na mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue mara Balozi huyo alipomtembela ofisini kwake Dodoma jana. |
Kushoto: Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwafunda Wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki waliochaguliwa hivi karibuni jinsi ya kuweka uzalendo mbele na mengine baadaye. Shughuli hii ilifanyika katika Ofisi ya Spika mjini Dodoma
Kwetu siasa si ugomvi....Makamu wa Kwanza wa Serilaki ya Mapinduzi Zanzibar aliye pia Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Hamad akisalimiana na hasimu wa wake Mbunge wa Wawi Mhe. Hamad Rashid Hamad jijini Dar es Salaam hivi karibuni