Bw. Siegfried Kuwite akitia saini makabidhiano hayo kwa niaba ya Katibu wa Bunge ambaye ndiye Mshitiri (client) wa jengo. |
Bw.Shaban Mwatawala akitia saini makabidhiano hayo kwa niaba ya Pacha Building Construction Company. |
Bwana Mwatawala akimkabidhi Msanifu Majengo M. F. M Msangi (kulia) anyewakilisha Wakala wa Majengo ya Serikali. Wakala wa Majengo Tanzania ndiye Meneja wa Mradi huu. |
Mlango wa mbele wa jengo. |
Ngazi ndani ya jengo ambalo lina vyumba vinne vya kulala, sehemu ya mapumziko, sehemu ya chakula, maktaba na jiko. |
Mazingira yanayolizunguka jengo. |
Wadau katika zoezi zima la makabidhiano |
End |