.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Sunday, November 27, 2011

Mahafali ya Pili Chuo Kikuu cha Dodoma yafana

Bi Amina Ikaji, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma katika  shahada ya Uongozi na Rasilimali-Watu kwenye mahafali ya pili ya Chuo hicho jana.

 Bi Neema Mbogoni akiwa na rafiki yake Bi Amina Ikaji (kulia)
wakipongezana kwa hatua waliyofikia ya kuhitimu shahada
ya kwanza jana kwenye Chuo Kikuu cha Ddodoma.

   Wadau wakipongezana na kutakiana kheri katika maisha jana

 Hongera sana mwanetu! Ndivyo wanavyoonekana wakisema  ndugu, jamaa na marafiki wa Amina.

 Taswira ya Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa Mahafali jana


Picha zote ni za muonekano wa furaha katika tukio  hilo










Saturday, November 19, 2011


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Ghalib Bilal akifungua mkutano wa maadhimisho ya miaka kumi ya chama wabunge wanaopambana na Ukimwi Tanzania (Tanzania Parliamentarians Aids Coalition-TAPAC) mjini Dodoma jana.
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akimshukuru Makamu wa Rais kwa kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mkutano huo, pamoja na kuwashukuru wageni waliotoka nje na ndani ya Tanzania, 
Mwanyekiti wa TAPAC Mhe. Lediana Mng'ong'o akiwakaribisha waalikwa kwenye mkutano huo na kutoa ngalizo kuhusu maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi 
 Makamu wa Rais na Spika wa Bunge
Waziri Mkuu Mhe. Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar 






 Wageni mbalimbali katika mkutano huo.



















 Kuwasha mshumaa







Picha za pamoja 



Karibu tena Mhe Makamu