Spika wa Tanzania akifunga rasmi mkutano wa kumi wa Bunge la Afrika Mshariki. Pamoja na mambo mengine wadau wa mkutano huo wamekubali kutoharakisha shirikisho la Afrika Mashariki. |
Katibu Mkuu wa jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt Richard Sezibera na Balozi wa Kenya Tanzania Mhe. Mutiso wakifuatilia kwa makini hotuba hiyo |
Maspika watatu wanawake wa Afrika Mashariki: kutoka kushoto ni Mhe. Rose Mukantabana (Rwanda), Mhe Anne Makinda (Tanzania) na Mhe. Rebecca A. Kadaga (Uganda) |
Spika makinda akishauriana jambo na mbunge wa Afrika Mashariki Mhe. Amani Kabourou |
Wadau wakifuatilia hotuba ya Spika Makinda |
Spika wa Bunge la Afrika Mshariki Mhe. Abdirahin Abdi akimkabidhi Spika wa Tanzania Mhe. Anne Makinda Cheti cha kutabumbua mchango wake tangu kuundwa kwa Jumuiya hiyo |
Mhe Beatrice Shelukindo akiwa kwenye mkutano huo |
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya SADC akifurahia zawadi ya Saa yenye picha ya jengo la Bunge la Tanzania |
Picha ya pamoja |