.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Tuesday, June 21, 2011
Jaji Mkuu atembelea banda la Bunge maadhimisho ya Utumishi wa Umma
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohammed Othman
Chande akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge kuhusu shughli za
Ofisi ya Bunge alipotembelea banda hilo katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo
Jaji Mkuu akitoa ushauri wa kitaalamu mara baada ya kukagua taarifa na
machapisho mbalimbali
Jaji Mkuu akisaini kitabu cah wageni baada ya kupata maelezo ya
banda la Ofisi ya Bunge
Jaji Mkuu akiondoka katika banda la Bunge.
Newer Post
Older Post
Home