1. Viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi (kutoka kulia Bw James Mbati-Mwenyekiti, Samuel Ruhuza – Katibu Mkuu na Dkt Ndalichako Kessy-Mkurugenzi wa Mambo ya Nje) wakitoa maoni yao jinsi ya kuuboreshwa muswada wa sheria ya kuunda tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya ofisini kwa Spika leo.
1. Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu Mwenyekiti wa Kamata ya Katiba, Sheria na Utawala Mhe. Angela Kairuki wamkisikiliza Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi kwa makini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala Mhe. Pindi Chana akiongea wakati wa mjadala huo leo.
1.
Viongozi wa Chama cha Wananchi CUF wakitoa maoni yao.
Na Prosper Minja-Bunge