JPM akabidhi madawati 120,000 yaliyotolewa na Bunge
Rais John Pombe Magufuli (katikati) akiwa na Waziri Mkuu, Naibu Spika, na wajume wa Utumishi wa Bunge mara baada ya kupokea na kukabidhi madawati 120,000 yaliyotolewa na Ofisi ya Bunge. Madawati hayo yatakabidhiwa kwa wabunge wote wa majimbo nchini
Sehemu ya Madawati
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge ni miongoni mwa wageni walioshuhudia hafla hiyo na ni wanufaika wa madawati hayo.