.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, July 18, 2016

Arusha kuchele


Muonekano wa Arusha Hotel baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa

JPM awkilishwa na Makamu AU Kigali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimiana na Mamlaka za Rwanda mara alipowasili Kigali Rwanda kuhudhuria Mkutano wa 29 wa Wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika. Mhe. Suhluhu namwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli








Wednesday, July 13, 2016

Kijana afungiwa ndani na wazazi wake miaka 11 huko Mbeya

Kijana Emmanuel mwenye mtindio wa ubongo
Malazi yake

Shangazi yake akijiandaa kumfanyia usafi

Jamii imeaswa kutowanyanyapaa na kuwaficha watoto wenye matatizo ya kimaumbile.....


Vivuko vya Magogoni na Pangani mbioni kumalizika

Kivuko cha Magogoni

Kivuko cha Pangani



Ugawaji wa Madawati






Kinyang'anyiro Ukatibu Mkuu UN........ Ban Ki-Moon amaliza muda wake

Vesna Pusic (Croatia)

Antonio Guterres (Portugal)

Susan Malcorra (Argentina)

Vuk Jeremic (Serbia)

JPM akabidhi madawati 120,000 yaliyotolewa na Bunge

Rais John Pombe Magufuli (katikati) akiwa na Waziri Mkuu, Naibu Spika, na wajume wa Utumishi wa Bunge mara baada ya kupokea na kukabidhi madawati 120,000 yaliyotolewa na Ofisi ya Bunge. Madawati hayo yatakabidhiwa kwa wabunge wote wa majimbo nchini

Sehemu ya Madawati

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge ni miongoni mwa wageni walioshuhudia hafla hiyo na ni wanufaika wa madawati hayo.

Mkachape kazi kwa uadilifu.....





Wakurugenzi wateule wa Halmashauri, Minji na Majiji walika kiapo cha uadilifu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Ikulu Dar es Salaam tarehe 12 Julai 2016