Kutoka kushoto Ni Waheshimiwa Kange Lugola, Murad na Mwambalaswa wakiwa mahakamani baada ya TAKUKURU kuwatuhumu kuomba rushwa ya sh. 30m. Hapa ni mahakama ya Kisutu (31/03/2016)
Balozi wa China nchini Mhe. LU Youngqing akisaini kitabu cha wageni alipomtembelea Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba. Balozi Youngqing aliipongeza Tanzania Zanzibar kwa jinsi ilivyoendesha uchaguzi wa kihistoria wa marudiao kwa amani na utulivu