Prof. Dr. Med Henning Niebuhr kutoka Ujerumani akielezea jinsi utabibu mpya wa upasuaji kwa njia ya vitundu (laparoscopic surgery) unavyofanyika kwa haraka, uhakiaka na kumfanya mgonjwa kupona kwa haraka na kuendelea na shughuli zake. Aidha, huduma hii huchukua muda mfupi na hivyo kuwezesha wagonjwa wengi kuhudumiwa kwa muda mfupi. Zoezi hili lilifanyika katika Hospitali ya Rufaa na Mbeya hivi karibuni |