.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, February 9, 2016

Rais Kabila afanya kufuru.....

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Joseph Kabila (mwenye kombe) ametoa zawadi ya gari aina ya Prado kwa wachezaji wote wa timu ya Taifa pamoja na viongozi wao baada ya kuibuka mshindi wa mashindani ya CHAN2016 barani Afrika


Sehemu ya magari hayo ambapo pamoja na mambo mengine Rais huyo amewavisha wachezaji hao nishani maalum ya kutambua mchango wao katika taifa baada ya kuichapa Mali bao 3-0.