.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, February 4, 2016

Mama janeth Magufuli awakumbuka Wazee na Walemavu

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Kituo cha Wazee na Walemavu kilichoko Nunge Kigamboni, Dar es Salaam jana tarehe 3/1/2016

Akimkabithi Mkuu wa kituo hicho msaada wa chakula: Kilo 3,000 za unga wa mahindi, kilo 3,000 za mchele na kilo 1,200 za maharage kwa ajili ya wazee na walemavu wanaoishi katika kituo hicho

Akisalimiana na Wazee na Walemavu wa kituoni hapo