Mke wa Rais Mwalimu Janeth Magufuli aagwa rasmi ya shule ya msingi aliyokuwa akifundisha ya Mbuyuni Jijini Dar es Salaam. Pichani akikabidhwa zawadi ya saa kuuenzi mchango wake katika shule hiyo. Kwa mujibu wa wadhifa wake hataweza kuendelea kufundisha |